Mialiko ya Kikazi Tanzania
Kadi za kampuni, semina, mikutano na conference
Kwa matukio ya biashara yanayohitaji mwonekano wa kitaalamu, Golden eCards hutoa mialiko ya kikazi yenye ubora wa juu, urahisi wa usambazaji, na ufuatiliaji wa wageni.
Maneno Muhimu ya Utafutaji
mialiko ya kikazimialiko ya kampunimialiko ya conferencemialiko ya seminacorporate invitation tanzaniakadi za tukio la kikazimialiko ya uzinduzi wa biasharamialiko ya event ya kampunikadi za mkutanomialiko ya biashara
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara
Mialiko ya kikazi inafaa matukio gani?
Inafaa semina, mikutano, uzinduzi wa bidhaa, conference, warsha na hafla za kampuni.
Mnaweza kutumia nembo na rangi za kampuni yetu?
Ndiyo, tunabinafsisha mialiko kwa kutumia brand colors, logo na mtindo wa mawasiliano wa kampuni yako.
Je, kuna njia ya kufuatilia waliohudhuria tukio?
Ndiyo, tunaweza kuweka mfumo wa RSVP na QR check-in kwa ufuatiliaji sahihi wa washiriki.